Discuss & Debate | Share | Learn

www.ask.or.tz

Our Partners
#22592
hotuba.png
hotuba.png (1.08 MiB) Viewed 278 times
Hadithi ya Karbala haikuisha kwa kuuawa kishahidi kwa Ḥusayn, wala misheni yake haikuisha. Kifo chake kilikuwa mwanzo wa majaribu na masaibu ya muda mrefu iliyoikabili familia ya Imam Ḥusayn (a.s.). Wakati wa majaribu na masaibu haya, ilikuwa ni hotuba zenye nguvu na taathira kubwa za Bibi Zaynab na Imam wa Nne Sajjad (a.s.) ambazo zilipenya mioyo migumu ya watu, kutoa cheche za mapinduzi, na kuleta mabadiliko.

Hotuba ya Bibi Zaynab na hotuba ya Imam Zayn al-‘Ābidīn zinakamilishana: Hotuba ya Zaynab ilitengeneza mwelekeo wa “tabarra” na hotuba ya Imam Zayn al-‘Ābidīn ilitengeneza mwelekeo wa “tawalla”: ya kwanza ilifichua utambulisho halisi wa familia ya Abū Sufyān wakati ya pili iliwasilisha picha halisi ya familia ya Mtume.

Jina la Kitabu : Hotuba ya Bibi Zaynab (s.a.) na usuli yake ya Kihistoria; Hotuba ya Imam Zayn al-‘Ābidīn
Mwandishi : Sayyid Muhammad Rizvi
Mtafsiri : Abdunnur Ahmed Silim
Mchapishaji : Al-Ma‘ãrif Publications
ISBN : 978-1-990774-21-8

PDF : https://www.shia-maktab.info/index.php/ ... ad&fid=697

ePub : https://www.shia-maktab.info/index.php/ ... ad&fid=698
ZIONIST CULT PROPAGANDA

Are the Jewish people really facing genocide or an[…]

Global supply for Palestine

In Gaza, Palestinian children keenly appreciate th[…]

Hypocrisy of arabs towards gaza

Not only is she an huge influence, but a mother a […]

Recent news that has been circulating talks about […]

Ask4help Counseling Helpline