Discuss & Debate | Share | Learn

www.ask.or.tz

Our Partners
User avatar
By shia-maktab
#19035
Image

Lini mtu aruhusiwa kumwacha mke wake, na lini haruhusiwi? Khatua gani mtu achukue kabla ya kumwacha mkewe? Jee, kuna masharti yoyoteambayo ni lazima yatimizwe ndipo talaka ituke? Ni yapi? Mke, baada ya kuachwa, humiazimu kufanya nini? Kwa muda gani? Mke aliyeachwa ana haki gani kwa mtalaka wake?

Maswali hayo, na mengineyo yanayokhusu talaka na eda, ndiyo yanayoelezwa kwa urefu katika tafsiri ya Sura hii ya At-Talaaq. Kwa mara ya kwanza katika tafsiri ya Kiswahili ya sura hii, tunaelezwa hukumu za talaka na eda kwa urefu hivi — si kwa madhihabi mane ya ki-Sunni tu, bali na ya ki-Shia Ithnaashari pia.

Mwandishi wa tafsiri hii, mbali na kuwa amekuwa akiendesha darasa za kutafsiri Qur’ani Tukufu kila mwezi wa Ramadhan tangu 1960, pia huzunguka sehemu mbalimbali za Kenya kutoa waadhi. Maelezo yaliyomo humu yameandikwa kwa lugha nyepesi ambayo mtu yoyote ataweza kuielewa bila taabu.

Jina la Kitabu : Tafsiri ya Sura at-Talaaq
Mwandishi : Sheikh Abdilahi Nassir
Mchapishaji : Shungwaya Publishers Ltd.,


PDF: https://www.shia-maktab.info/index.php/ ... ad&fid=495

Imam Ja'far al-Sadiq (AS) was a great Islamic scho[…]

Aerobics

Get Ready to Move, Girls We are excited to announ[…]

Friday Vibes

Imam Ali (A.S.)‏ رُبَّمَا أُخِّرَتْ عَنْكَ ال[…]

YAWME GHAM

https://youtu.be/pwtF72taZWk?si=K-ypf7WlM5D09RgT […]

Ask4help Counseling Helpline