Discuss & Debate | Share | Learn

www.ask.or.tz

Our Partners
#19032
imam-ali-a-s-ndugu-yake-mtume-muhammad-s-a-w-sehemu-ya-kwanza_l.jpg
imam-ali-a-s-ndugu-yake-mtume-muhammad-s-a-w-sehemu-ya-kwanza_l.jpg (15.88 KiB) Viewed 300 times
Imam Ali (as) hakuwa kiongozi wa Waislamu tu bali wa wanadamu wote. Maisha na mwenendo wa Imam Ali (as) umewavutia watu wote, marafiki na maadui, hali ambayo imemfanya kuwa kiongozi wa umma.

Mtukufu Mtume (saw) alimtangaza mwanzoni kabisa mwa Ujumbe wake katika kile kikao mashuhuri kabisa cha “karamu ya jamaa”, aliposema: “Huyu ni ndugu yangu, wasii wangu, waziri wangu, khalifa wangu na mrithi wangu. Basi msikilizeni na mumtii.” Hili lilikuwa tangazo la mwanzo kabisa alilolitoa Mtukufu Mtume (saw) kwa ajili ya Imam Ali (as) na aliendelea kuwakumbusha Waislamu kuhusu uongozi wa Imam Ali baada yake katika matukio mengi yaliyofuata baadaye, kama vile katika tukio la Ghadir Khum pale aliposema: Man kuntu mawlahu fahadha Aliyyun mawlahu – Yule ambaye mimi kwake ni kiongozi basi na huyu Ali ni kiogozi wake.” Na mwisho ni tukio la “Karatasi” pale Mtukufu Mtume (saw) alipokuwa ni mgonjwa na maradhi yamemzidi akaomba aletewe karatasi, kalamu na wino, mashuhuri kama “hadithi ya karatasi.”

Jina la Kitabu : Imam Ali (a.s.) - Ndugu Yake Mtume Muhammad (s.a.w.) (sehemu ya kwanza ya juzuu ya kwanza)
Mwandishi : Muhammad Jawad Chirri
Mtafsiri : Salman Shou
Mchapishaji : Al-Itrah Foundation
ISBN : 9789987512560

PDF: https://www.shia-maktab.info/index.php/ ... ad&fid=477

Imam Ja'far al-Sadiq (AS) was a great Islamic scho[…]

Aerobics

Get Ready to Move, Girls We are excited to announ[…]

Friday Vibes

Imam Ali (A.S.)‏ رُبَّمَا أُخِّرَتْ عَنْكَ ال[…]

YAWME GHAM

https://youtu.be/pwtF72taZWk?si=K-ypf7WlM5D09RgT […]

Ask4help Counseling Helpline