- 29 Aug 2019, 12:10
#19023

Kulikuwa na matukio mengi sana ya kusikitisha mara tu baada ya kufariki Mtukufu Mtume (s.a.w.w), moja katika matukio hayo ni kuzuka kwa Hadith nyingi za uwongo na kusingiziwa kwamba ni za Mtume (s.a.w.w). Na vile vile Qur’an haikusalimika kutokana na mchezo huu; zilitolewa tafsir nyingi zisizolingana na Aya husika.
Mchezo wote huu umefanywa kwa makusudi ili kuwaridhisha watawala madhalim ambao walipora dola ya Kiislamu na kuifanya milki yao.
Kutokana na mchezo huu mchafu zinapatikana Hadith nyingi sana za kubuni (kughushi) katika vitabu mashuhuri vya Hadith na vya Tafsir ya Qur’an. Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi amefanya juhudi kubwa sana katika kitabu hiki na kuonesha jinsi ughushaji huu ulivyofanyika, na kutoa mifano ya baadhi ya Hadith zilizoghushiwa, na Aya za Qur’an zilizopindwa ili kukidhi matakwa yao.
Jina la Kitabu : Qur’ani na Hadithi
Mwandishi : Sayyid Saeed Akhtar Rizvi
Mtafsiri : Salman Shou
Mchapishaji : Al-Itrah Foundation
ISBN : 9987427146
PDF: https://www.shia-maktab.info/index.php/ ... ad&fid=471