- 26 Oct 2018, 18:04
#18939

Kijitabu hiki ambacho kimepambwa kwa jina la Fatima Zahra (s.a.), binti wa Mtume Muhammad (s.a.w.w.), ni kati ya mihadhara ya thamani ya marehemu Imam Muhammad al-Husaini al-Shirazi (Mwenyezi Mungu amrehemu). Ni kitabu cha aina yake katika lugha ya Kiswahili kinachoelezea maisha ya Bibi huyu mtukufu mwenye nuru.
Jina la Kitabu : Fatima al-Zahra
Mwandishi : Sayyid Muhammad al-Husaini al-Shirazi
Mtafsiri : Abdul-Karim J. Nkusui
Mchapishaji : Al-Itrah Foundation
ISBN : 9789987512218
PDF:
http://www.shia-maktab.info/index.php/e ... ad&fid=356