Discuss & Debate | Share | Learn

www.ask.or.tz

Our Partners
#22591
Katika Mada hii utapata kusikia:
1. Kuondoka kwa Mtume(s.a.w.w)hakuna maana kuwa yeye Mtumec hajatuachia viongozi.

2. Imam Mahd ni muendelezo (extension)wa uongozi wa mtume muhammad (s.a.w.w)

3. Kwa nini Imama Mahdi awe kwenye ghaib muda wote huu?

4. Aina za ghaib

5. Aina za vifo iliyowapata maimamu,mwanaFatimah na hali ilivyokuwa wakati mtume anataka kukata roho na baada ya kukata roho.

6. Yaliyotendeka baada ya mtume (kipindi cha maswahaba)na mauaji ya Ahlulbayt(as)




Stay connected:
https://chat.whatsapp.com/GViEFhv3yBM1iVvO3HV4Ca

Imam Ja'far al-Sadiq (AS) was a great Islamic scho[…]

Aerobics

Get Ready to Move, Girls We are excited to announ[…]

Friday Vibes

Imam Ali (A.S.)‏ رُبَّمَا أُخِّرَتْ عَنْكَ ال[…]

YAWME GHAM

https://youtu.be/pwtF72taZWk?si=K-ypf7WlM5D09RgT […]

Ask4help Counseling Helpline