Page 1 of 1

Sheikh Abdillahi Nassir (ni nani Imam Mahdi a.s) Sehemu ya tatu

Posted: 13 Feb 2024, 19:08
by BatoolM
Katika Mada hii utapata kusikia:
1. Baadhi hadithi zilizopokewa katika vitabu vya wasiokuwa Mashia kuhusu Imam Mahdi (A.S)

2. Hadithi kutoka katika vitabu vya shia kuhusu Imam Mahd (A.S)

3. Kwa nini Imam Mahdi (A.S) asijitokeze muda huu wa sasa.



Stay connected:
https://chat.whatsapp.com/GViEFhv3yBM1iVvO3HV4Ca